Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Kim Nguyen Doanh. Katika mazungumzo yao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili hususan katika masuala ya biashara na uwekezaji.
Wednesday, February 28, 2018
Mhe. Balozi Simba afunga mafunzo kwa Maafisa wa polisi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, ambaye pia alikuwa mgeni rasmi, Mhe. Balozi Hassan Y. Simba akisoma hotuba ya kufunga mafunzo ya siku tatu ya Maafisa wa Polisi, Mafunzo hayo yemetolewa na chuo cha mambo ya usalama cha Naif Arab University for Security Science, hafla hiyo imefanyika tarehe 28 Februari,2018, katika Hotel ya Hyatt Regency, Dar es Salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, Mhe. Balozi Hemed Mgaza akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje katika hafla hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Balozi Hassan Y. Simba (katikati), Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia , Mhe. Balozi Hemed Mgaza (kulia), anayefuata ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, Commandor Nsato Marijani. wa pili kutoka mwisho kushoto ni Balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek wakifuatilia shughuli hiyo.
Sehemu ya wageni wakifuatilia ufunguzi huo.
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo hayo Bw. Hangi Mgaka akipokea cheti katika hafla hiyo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Ramadhani M. Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini, Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Balozi Hassan Y. Simba akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini, Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek
Picha ya pamoja
Tuesday, February 27, 2018
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya MICT
Mkutano ukiendelea. |
Monday, February 26, 2018
Wizara ya Mambo ya Nje yaahidi kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo
Wajumbe wakifuatilia kikao. |
Sehemu nyingine ya wajumbe wakifuatilia kikao. |
Naibu Katibu Mkuu afungua mafunzo ya Maafisa wa Polisi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani M. Mwinyi, akifungua mafunzo ya Maafisa wa Polisi yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency, Dar es salaam, mafunzo hayo yanaendeshwa na Wataalam kutoka chuo cha sayansi ya masuala ya Ulinzi Cha Naif Arab University cha Saud Arabia. Mafunzo hayo ni ya siku tatu(3), yaliyoanza tarehe 26-28 Februari,2018
Naibu Katibu Mkuu Balozi Mwinyi, kushoto kwake ni Balozi Mohamed M. Al Malek , Balozi wa Saudi Arabia Nchini, kulia kwake ni , Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Balozi Hemedi Mgaza na mwisho ni Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Commissioner Nsato M. Marijani wakifuatilia mafunzo hayo.
Mafunzo yakiendelea
Sehemu ya washiriki kutoka Wizarani wakifuatilia mafunzo hayo
Sehemu ya washiriki na Wakufunzi wa mafunzo wakifuatilia mafunzo hayo
Picha ya Pamoja.
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Taasisi ya Aga Khan
Balozi Lalani akimweleza jambo Prof. Mkenda. |
Mazungumzo yakiendelea. |
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Palestina
Prof. Mkenda akimweleza jambo Balozi Shabat walipokutana na kufanya mazungumzo. |
Balozi Shabat naye akifafanua jambo kwa Prof. Mkenda |
Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Kisa Doris Mwaiseba. |
Friday, February 23, 2018
Naibu Waziri akutana na Mjumbe Maalum kutoka Poland
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akiwa katika mazungumzo na Mjumbe maalum kutoka Nchi ya Poland Mhe. Krzysztof Szczerki alipomtembelea Wizarani, tarehe 22 Februari, Dar es salaam. Mazungumzo yao yalilenga zaidi jinsi ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi ya Poland katika maeneo mbalimbali ya maendeleo.
Mhe. Dkt Kolimba na Mhe. Szczerki wakiendelea na mazungumzo, wanaofuatilia wa kwanza kushoto ni Balozi wa Poland nchini Mhe. Krzysztof Buzalski pamoja na wajumbe waliombatana nao kutoka Ubalozini na wa kwanza kulia ni Bw. Salvatory Mbilinyi, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika na Maafisa kutoka Wizarani.
Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mkutano
Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Mkurugenzi wa masuala ya Afrika kutoka Canada
Mazungumzo yakiendelea |
Balozi Mwinyi akiagana na Bw. Fredelte baada ya kumaliza mazungumzo yao |
Picha ya pamoja |
Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Mbunge kutoka Uturuki
Kikao kikiendelea |
Naibu Waziri Kolimba aongoza maadhimisho ya siku ya Taifa la Kuwait
Sehemu ya Mabalozi walio hudhuria hafla hiyo wakimsikiliza kwa makini Dkt. Kolimba (hayupo pichani). |
Dkt. Kolimba akiendelea kuzungumza huku wageni waalikwa wakimsikiliza. |
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem naye akizungumza wakati wa hafla hiyo. |
Sehemu nyingine ya Mabalozi wakimsikiliza kwa makini Mhe. Najem akihutubia. |
Dkt. Kolimba akishiriki katika zoezi la kukata keki kwenye hafla hiyo. |
Dkt. Kolimba akipokea picha iliyochorwa kwa Mkono kutoka kwa Balozi Najem. |
Dkt. Kolimba akisalimiana na Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim walipokutana kwenye hafla hiyo. |
Dkt. Kolimba akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricip Clemente Mussa. |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. |