MFA Tanzania
Friday, May 29, 2015

Kaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda akutana Ujumbe wa EU hapa nchini

›
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Innocent Shiyo (kulia)...
Wednesday, May 27, 2015

Rais Kikwete awaapisha Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Balozi wa Tanzania Saudia

›
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha   Balozi Liberata Mulamula kuwa  Katibu Mkuu wa Wizara ya...

Watumishi Wizara ya Mambo ya Nje wawapokea kwa shangwe Katibu Mkuu mpya na Naibu Katibu Mkuu

›
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akikabidhiwa ua na Mkurugenzi Msaidizi wa I...
Tuesday, May 26, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI

›
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanz...
Monday, May 25, 2015

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei

›
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo t...

Mkutano wa Nne wa Mabalozi kujadili mchango wa Diplomasia ya Tanzania kuelekea Dira ya Maendeleo 2025 waanza

›
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa K...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
ForeignTanzania
View my complete profile
Powered by Blogger.