Friday, March 30, 2012

Kamati ya Kudumu ya Mambo ya Nje yakutana na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje


Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) walipokutana na uongozi wa Wizara chini ya Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule, Katibu Mkuu wa Wizara na Balozi Rajab Gamaha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara.  Kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Wizara kujadili taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa kipindi cha kuanzia mwezi wa Januari hadi Machi mwaka huu 2012.



Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Machi 2012.  



Bw. John M. Haule, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akieleza changamoto na mafanikio mbalimbali ya Wizara katika kipindi cha miezi Januari had Machi 2012.  Pichani ni Mhe. Mahadhi Juma Maalim (kulia), Naibu Waziri wa Wizara na Balozi Rajab Gamaha (kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara.


Makaimu Wakurugenzi wa Idara na Vitengo wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara.


Makaimu Wakurugenzi wa Idara na Vitengo wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara.



Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. John Shibuda (Chadema-Maswa Magharibi) akichangia hoja.

Rais asikitishwa na kifo cha Balozi Lukindo



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe kufuatia taarifa za kifo cha Balozi Raphael Haji Lukindo kilichotokea tarehe 27 Machi, 2012 katika Hospitali ya Saisee iliyopo Mumbai nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Enzi za uhai wake, Balozi Lukindo alikuwa Mtumishi wa Umma aliyelitumikia Taifa letu katika nyadhifa mbalimbali kuanzia wadhifa wa Bwana Shauri yaani District Officer, na kwa muda mrefu amekuwa katika Balozi mbalimbali akiiwakilisha nchi yetu ambapo mara ya mwisho alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan kuanzia mwaka 1983 hadi 1988.

“Nimesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha Balozi Raphael Haji Lukindo ambaye kwa hakika alikuwa Mtumishi wa Umma muadilifu na mchapakazi hodari tangu alipokuwa Bwana Shauri kati ya mwaka 1961 hadi 1962, alipokuwa Afisa katika Balozi zetu za Uingereza na Ujerumani, na hata alipoteuliwa kuwa Balozi akiiwakilisha nchi yetu katika nchi za uliokuwa Muungano wa nchi za Kisovieti za Urusi (USSR), Uingereza, Italia na hatimaye Balozi wa Tanzania nchini Japan kabla ya kustaafu”, amesema Rais Kikwete katika salamu zake.

Rais Kikwete amesema kutokana na utumishi wake uliotukuka, Taifa limempoteza mtu muhimu ambaye, pamoja na kwamba alikuwa amekwisha kustaafu, lakini ushauri wake ulikuwa bado unahitajika sana hasa katika masuala ya kidiplomasia.  Kutokana na msiba huo, Rais Kikwete ametoa pole nyingi kwa familia ya Marehemu Balozi Lukindo kwa kupoteza kiongozi muhimu wa familia.

Amesema anamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema ailaze mahala pema peponi roho ya Marehemu Balozi Lukindo na awape moyo wa uvumilivu na ujasiri wanafamilia, ndugu na jamaa wa Marehemu katika kipindi chote cha maombolezo.  Aidha Rais Kikwete amewahakikishia kuwa yupo pamoja nao katika kuomboleza msiba huu mkubwa kwa kutambua kuwa yote ni mapenzi yake Mola.

Mwisho.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.


 

Wednesday, March 28, 2012

Deputy Minister Hon. Maalim attends Pakistan Independence Day Celebration


The High Commissioner of Pakistan to Tanzania, H.E. Ambassador Tajammul Altaf welcoming the guest of honor, Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP), the Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, during the 72nd Independence Anniversary of Pakistan held recently in Dar es Salaam. 

The Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP) (4th left) and other distinguished members of diplomatic community including the Dean of Diplomatic Corps and Ambassador of Democratic Republic of Congo to Tanzania, H.E. Ambassador Juma Khalfan Mpango (4th-right), standing in honor of the Pakistan National Anthem during the ceremonyHon. Maalim was attending the 72nd Independence Anniversary of Pakistan held recently in Dar es Salaam.

 
The Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP) (center) proposing a toast together with the High Commissioner of Pakistan to Tanzania, H.E. Ambassador Tajammul Altaf (left) and the Dean of Diplomatic Corps and Ambassador of Democratic Republic of Congo to Tanzania, H.E. Ambassador Juma Khalfan Mpango (right). 


The Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP) cutting a cake as he graced the 72nd Independence Anniversary of Pakistan held recently in Dar es Salaam.  Looking on (left) is the High Commissioner of Pakistan to Tanzania, H.E. Ambassador Tajammul Altaf and the Dean of Diplomatic Corps and Ambassador of Democratic Republic of Congo to Tanzania, H.E. Ambassador Juma Khalfan Mpango (Photo by Robert Okanda of Daily News Tanzania)

Distinguished guests, including H.E. Sander Gurbuz (right), the Turkey's Ambassador to Tanzania, Acting Director of the Department of Ausia and Australasia, Mr. Shao (2nd right), Indian High Commissioner H.E. Kocheril Velayudhan Bhagirath (2nd left) and the Dean of Diplomatic Corps and Ambassador of Democratic Republic of Congo to Tanzania, H.E. Ambassador Juma Khalfan Mpango (left), enjoying the Pakistan traditional food during the 72nd Independence Anniversary of Pakistan held recently in Dar es Salaam. 

Sunday, March 25, 2012

Tanzania condemns Seizure of power in Mali


 
The Government of the United Republic of Tanzania has received with profound consternation, the news of the seizure of power, by force, from a democratically elected Government of the Republic of Mali under H.E. President Amadou Toumani Toure.
 
This forceful seizure of power from a democratically elected government is a serious set-back to the cause of entrenching constitutional rule, democracy and good governance on the African continent and Mali, in particular, which is unacceptable. For, it negates the will of the people of Mali and denies them of their basic right, which they were expecting to exercise during the general elections scheduled for April 2012, to elect the leaders of their own choice, democratically. It is also a reminder of Mali’s dark past history of coups that took place in 1968 and 1991, that had long been forgotten by the Malian people.
 
The Government of the United Republic of Tanzania therefore strongly condemns this act of the seizure of power by force, which is against the letter and spirit of the Constitutive Act of the African Union, the Protocol Establishing the Peace and Security Council of the African Union, the Lome Declaration of July 2002 and the African Charter on Democracy, Elections and Governance, all of which prohibit unconstitutional changes of Governments on the African continent.
 
The Government of the United Republic of Tanzania also joins other members of the international community in demanding the immediate restoration of constitutional rule. Furthermore, Tanzania calls on mutineers to take all the necessary measures to ensure the safety and security of the President and his family as well as his associates.  Also, Tanzania calls upon them to ensure respect for individual and collective freedoms and refrain from any acts of violence which may lead to the deterioration of the security in the country.

 
Finally, the Government of the United Republic of Tanzania supports the decision of the African Union to temporarily suspend the membership of Mali from the continental organization and expresses its commitment to work together with other Member States of the African Union, under the aegis of the African Union, to ensure that constitutional rule is restored in Mali so as to allow the Malian people choose the leaders of their own choice during the elections that were scheduled to take place in April 2012.
 

          MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL CO-OPERATION                                            

Saturday, March 24, 2012

Taarifa kwa Watanzania wanaoishi nchini Mali


Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kuwafahamisha Watanzania waliopo Mali kujiandikisha Wizarani kupitia email zifuatazo nje@foreign.go.tz au info@foreign.go.tz. Wakati wa kujiandisha tafadhali toa taarifa muhimu kuhusu Jina lako kamili, Umri wako,namba ya hati yako ya Kusafilia,mahali ulipo nchini Mali, simu yako pamoja na anuani ya barua pepe yako.

Aidha Wizara inapenda kuwashauri Watanzania popote walipo kutosafiri kwenda nchini Mali kutokana na kufungwa kwa mipaka ya nchi hiyo baada ya Kikundi cha Wanajeshi kupindua Serikali ya nchi hiyo na hivyo kusababisha Mipaka yote pamoja na Viwanja vya ndege.


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Thursday, March 22, 2012

Hon. Membe bids farewell to APRM Tanzania's Country Review Mission Team

Hon. Bernard K. Membe (MP) gives few remarks during the Cocktail Party he hosted at the Hyatt Regency (Kilimanjaro) Hotel in Dar es Salaam to bid farewell to African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania's Country Review Mission Team.  The Team had just wrapped its one month tour in the country, assessed Zanzibar and other regions including Arusha, Pemba, Songea, Bukoba, Kigoma, Dodoma, Dar es Salaam, Mbeya and others.  Listening on are Prof. Hasa Mlawa (2nd left), Chairman of the APRM Tanzania, Hon. John Shibuda (3rd left) (MP Chadema-Maswa West), a member of the National Governing Council of APRM Tanzania and H.E. Barrister Akere Muna (2nd right), the Lead Panelist for African Peer Review Mechanism (APRM) Country Review Mission for Tanzania. 


Hon. Bernard K. Membe (MP), presents a gift to H.E. Barrister Akere Muna (right), the Lead Panelist for African Peer Review Mechanism (APRM) Country Review Mission for Tanzania.  Looking on is Hon. John Shibuda (MP Chadema Maswa-West).

Hon. Bernard K. Membe (MP), presents a gift to Prof. Adelle Jinadu of Nigeria.  Looking on is Prof. Hasa Mlawa, Chairman of the APRM Tanzania.


Hon. Membe presents a gift to Dr. Rachel Mukamunana.  Looking on is Prof. Mlawa, Chairman of the APRM Tanzania.


Hon. Membe presents a gift to Dr. Kojo Busia.


Hon. Membe presents a gift to Prof. Abdul Aziz Jalloh.  Looking on is Prof. Mlawa.


Hon. Membe presents a gift to Ms. Candy W. Okoboi.  Looking on are Prof. Mlawa and H.E. Barrister Muna.


A group photo with the APRM's Country Review Team in Tanzania. The CRM is expected to produce a country review report and the final national programme of action which will entail strategic actions aimed at addressing the governance challenges afflicting Tanzania.

Ms. Zuhura Bundala, Acting Director of the Department of Africa at the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, chatting with Dr. Kojo Busia.


Ms. Zuhura Bundala (right), Acting Director of the Department of Africa at the Ministry, in conversation with Mr. Ali Bujiku (2nd right), Foreign Service Officer at the Department of Africa, Mr. Assah Mwambene (2nd left), Acting Head of the Government Communication Unit at the Ministry and Mr. Togolani Mavura (left), the Private Assistant to the Minister of Foreign Affairs.  The Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation fully participated throughout the CRM assessment tour in the country.  

Tuesday, March 20, 2012

President Kikwete meets with the Country Review Mission Team after its tour of the Country

H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete gives his remarks during his meeting with the African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania's Country Review Mission team at Ikulu in Dar es Salaam.  The CRM team had just finished its country assessment tour in Zanzibar, Pemba, Arusha, Kigoma, Bukoba, Mbeya, Dodoma, Songea, Mtwara, Dar es Salaam and other regions.  Listening on is the Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal.

H.E. President Kikwete in light discussion with Mr. Barrister Akere Muna.


The Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal congratulating Ambassador Liberata Mulamula, who recently was appointed as a Senior Advisor to the President on Diplomatic Matters.


H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete chatting with the Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal and Ambassador Liberata Mulamula, the newly appointed Senior Advisor to the President on Diplomatic Matters.


A group photo of the President Kikwete, the Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal (2nd left), the Prime Minister Hon. Mizengo Pinda (2nd right), Hon. Bernard K. Membe (1st left), the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation and the Lead Panelist for CRM team for Tanzania Mr. Barrister Akere Muna (3rd right), together with CRM team for Tanzania.


A group photo of the President Kikwete together with Members of the National Governance Council in Tanzania.  

 
A group photo of the President Kikwete, the Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal (2nd left), the Prime Minister Hon. Mizengo Pinda (2nd right), together with both the CRM team for Tanzania and the Members of the National Governance Council in Tanzania.


APRM's Country Review Team meets with Permanent Secretaries



H.E. Barrister Akere Muna, the Lead Panelist for the APRM's Country Review Mission in Tanzania, giving his opening remarks during the meeting today with all Government's Permanent Secretaries held yesterday at Mlimani City in Dar es Salaam. 



Mr. George Yambesi, Permanent Secretary at President's Office - Public Service Management, Mr. John M. Haule, the Permanent Secretary for the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, and other Permanent Secretaries from various Ministries listening on during the meeting with APRM's Country Review Team at Mlimani City Conference Centre, yesterday in Dar es Salaam.


Mr. Peniel Lymo (right), Permanent Secretary - Prime Minister's Office, listening on during the APRM's Country Review Meeting with all the Government's Permanent Secretaries.  Others on photo are Ms. Rehema Twalib (left), the Executive Secretary for APRM Tanzania and H.E. Barrister Akere Muna (center), the Lead Panelist for the APRM's Country Review Mission in Tanzania.  The meeting was held yesterday at Mlimani City Conference room in Dar es Salaam. 



Mr. Sazi B. Salula, Permanent Secretary at the Vice President's Office was also among the attendees during the meeting with the APRM's Country Review Team at Mlimani City Conference Centre, yesterday in Dar es Salaam.



Mr. John M. Haule (left), the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation in discussion with Prof. Hasa Mlawa (2d-left), Chairman of the National Governing Council.  Others on photo are Hon. Beatrice Shelukindo (2d-right), a member of parliament (CCM -Kilindi) and a member of the National Governing Council, and Rehema Twalib (right), Executive Secretary of African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania, yesterday at Mlimani City in Dar es Salaam.

Sunday, March 18, 2012

Tanzania, China brace for major projects

CHINESE Vice Minister for Commerce Li Jinzao is expected in the country this week to discuss with the government on funding of multi-million shillings projects in the energy, transport and agriculture sectors among others, the 'Daily News' can confirm.
Foreign Affairs and International Cooperation Minister, Mr Bernard Membe, told the 'Daily News' in Dar es Salaam that the Chinese minister and his delegation will arrive in the country on Friday.

"During the visit, the two parties will discuss several areas of co-operation which are crucial to ensure sustainable development including energy, transport, agriculture, construction and finance," he said. Construction of two gas processing plants at Mnazi Bay in Mtwara and Songosongo in Lindi as well as construction of a pipeline to transport natural gas from Mtwara to Dar es Salaam are expected to be top on the agenda.

The projects are geared at increasing supply of natural gas for power generation and for industrial and domestic use. They are now under consideration and appraisal by the government of China through Exim Bank of China. "We will be excited to know the progress that has been reached on the appraisal process and whether a financing credit agreement can now be finalized with Exim Bank of China," the minister said.

Mr Membe also hinted that the government will be following up on various projects that were submitted to the Exim Bank and China Development Bank for consideration under the financial support, equity and Build Operate and Transfer (BOT) models. These include equity of 100 million US dollars and credit of the same amount for establishment of Agriculture Development Bank as well as financial assistance to recapitalize the Tanzania Investment Bank (TIB) through equity of 110 million US dollars and credit of 120 million US dollars.

"Expansion of the new container terminal berth at the Dar es Salaam port in order to enhance its capacity to match growing cargo traffic will also be among areas of discussion during the visit of the Chinese delegation," he said. The two parties will also hold talks on modernization of the 2,068 km long central railway by increasing the rail weight from the current 80 pounds to 120 pounds per yard of rail.

And since the Tanzania Zambia Railway (TAZARA) provides the shortest link between the port of Dar es Salaam with Central and Southern African countries, the government of Tanzania will be inviting Chinese companies to explore and develop agriculture potential along the route to make the railway more efficient and effective.

Mr Membe explained further that implementation of the gas processing plants and pipeline projects will make it relevant for improvement of power transmission lines. "Therefore the construction of the North-West Grid Power Transmission Project and 300MW gas processing plant and transmission lines are vital," he said. "We will also be asking our counterparts to consider a request on financing of 10,000 energy savings and eco-housing projects on more convenient terms as well as implementation of the 50MW wind power project in Singida," he added.


Source:  Daily News, Tanzania

Thursday, March 15, 2012

Hon. Membe roots for closer trade ties with Mexico

The government has expressed its commitment to strengthen cooperation and partnership with Mexico and explore potential areas of investment in the country, particularly in mining and energy.

This was said on Tuesday in Dar es Salaam by Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon. Bernard K. Membe at the inauguration of a Mexican consulate in Tanzania.  Already the Mexican government has appointed Mohammad Reza Saboor to be its first honorary consul.

Hon. Membe said the government would enhance its relations with Mexico and look into the possibility of developing untapped resources.

"Trade and investment between the two countries is minimal and there is a need for both countries to encourage and promote growth in these important sectors in our relations," he said.

He commended the opening of consular office in Tanzania as an important step in strengthening further the existing relations between the two contries.

He revealed that the government is planning to open the honorary consul in Mexico to reciprocate the decision of Mexican government.

For his part, the Ambassador of Mexico to East Africa, Luis Campuzano, said there are several areas of common interest to develop as well as opportunities to explore to strengthen presence of Mexico in Tanzania and vice versa.

He mentioned areas of health, security, agriculture, tourism and infrastructure as some of the promising ones.

He said they can offer to the Tanzanians their friendship and cooperation and experience in key areas as housing development, maize processing and conservation, human capital and promotion of scholarships

Speaking earlier Reza promised to cement existing ties between two countries which was initiated with introduction of sisal plant in 1893.

He said the history of sisal industry in Tanganyika has an air of romance it made Tanga region a major exporter of the crop in the world.


Source:  The Guardian

Wednesday, March 14, 2012

Hon. Membe advocates cross-cultural dialogue

Foreign Affairs and International Cooperation Minister, Hon. Bernard K. Membe has called on Tanzanians to shun ethnocentrism wherever a 'mightier' culture is imposed to be the common culture, saying the process of connecting cultures will only be meaningful if it will embrace cross-cultural dialogue, mutual understanding and respect.

“By connecting cultures, we definitely ought to benefit from our unity in diversity; equally true is the fact that connecting cultures comes with threats to those societies with embedded vulnerabilities,” said Hon. Membe.

The minister made the remarks in Dar es Salaam in an address to representatives from Commonwealth countries when commemorating this year’s Commonwealth Day under the theme, 'Connecting cultures'.

Hon. Membe said it was imperative for the process of connecting cultures to be inclusive, democratic and sensitive to the needs of other societies, particularly underdeveloped and small states and islands.

He stressed that connecting cultures was at the core of Tanzania's social policy as well as its foreign policy. In elucidating his point he quoted Mwalimu Nyerere who said, “A nation which refuses to learn from foreign cultures is nothing but a nation of idiots and lunatics. But to learn from other cultures does not mean we should abandon our own."

He said ever since Tanzania had always remained open to learn from best practices from other cultures because was to be stressed was that connecting cultures should go beyond democratic values and human rights.

"To be meaningful, the process of connecting culture should also be about connecting knowledge, technology and wealth. As we share the global threats we ought to also share the prosperity," he said.

Hon. Membe said that was the secret behind the peace and stability that this country enjoyed, noting that "we therefore welcome the theme of this year's Commonwealth celebrations and continue to commit ourselves to contribute to this noble course."

Hon. Membe urged other Commonwealth countries to respect each others' culture so as to make the world a better place to live in and on promoting the principles and values of the organisation, the Commonwealth which unites all our cultures and makes us one.
For her part, British High Commissioner to Tanzania, Ms. Diane Corner, who read a message from the Queen, Head of the Commonwealth, noted that connecting culture encouraged countries to consider the special opportunity which each had by treasuring and respecting the wealth of diversity.


Source:  The Guardian

Saturday, March 10, 2012

Waziri Mkuu Pinda akagua ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Julius Kambarage Nyerere

Image

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere kinachojengwa katika Mtaa wa Shaaban Robert Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Lv Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesifu utaalamu na teknolojia iliyotumika katika ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere uliopo katika makutano ya mitaa ya Shaaban Robert na Garden, jijini Dar es Salaam ambao ujenzi wake unakaribia kumalizika.

Akizungumza na wataalamu wa Kampuni ya China inayojenga ukumbi huo kabla ya kukagua maendeleo yake, Pinda pamoja na kueleza kuridhishwa na kiwango cha ubora wa ujenzi pia alisema ukumbi huo utaongeza hadhi ya Jiji la Dar es Salaam.

Alisema Serikali itafanya kila liwezekanalo kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Ushirikiano wa
Kimataifa na kwa kampuni inayojenga ukumbi huo ili kuhakikisha kuwa unakamilika mapema na kuanza kutumika.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (MB), alisema ukumbi huo ulio chini ya Wizara hiyo utakuwa na uongozi unaojitegemea kama ilivyo kwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).

Alisema awali ujenzi ulioanza mwaka 2010 ulitarajiwa kukamilika Aprili mwaka huu lakini
umekwama kutokana na vikwazo kadhaa vikiwemo wizi wa vifaa unaofanywa mara kwa mara, uchelewaji wa ufungaji wa mkongo wa mawasiliano na kuchelewa kuagizwa kwa kifaa maalumu cha kudhibiti umeme.

Alisema hata hivyo kwa mujibu wa wataalamu, ukumbi huo sasa unatarajia kukamilika Agosti mwaka huu, hatua itakayowezesha Jiji la Dar es Salaam kupata ukumbi mkubwa na wa kisasa na kuongeza hadhi ya Jiji hilo.

Meneja Mradi, Huan Meiluan alisema ukumbi huo ambao sasa umeanza kuwekewa mapambo mbalimbali ukiwa katika hatua za mwisho, una thamani ya dola za Marekani milioni 30.

Jengo hilo lina kumbi nne, wa kwanza ukiwa na viti 1,002, wa pili mahususi kwa ajili ya mikutano na waandishi wa habari ukiwa na viti 200, wa tatu ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 100 na wa nne ukichukua watu 56.

Source: Habari Leo

Wednesday, March 7, 2012

H.E. President Kikwete launches APRM's Country Review Mission




H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania presenting a Country Review Self Assessment Report to H.E. Barrister Akere Muna, the Lead Panelist for the Tanzania Review Mission of the African Peer Review Mechanism (APRM).  The ceremony was witnessed by distinguished members of diplomatic corps, today at the State House in Dar es Salaam.


H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete discussing something with Hon. Bernard K. Membe, the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation during the Launching Ceremony of the Tanzania Review Mission of the African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania, today at the State House in Dar es Salaam.
  

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania, sharing few words about African Peer Review Mechanism (APRM) with H.E. Barrister Akere Muna, the Lead Panelist for the Country Review Mission, today at the State House in Dar es Salaam.


H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania wishing well H.E. Barrister Akere Muna for his upcoming country tour review mission.  H.E. Muna is the Lead Panelist for the Tanzania Review Mission of the African Peer Review Mechanism (APRM), and is in the country with various members of APRM Country Review Mission (CRM) scheduled to tour the country until end of this month.


Among the attendees is Hon. Justice Mohamed Chande Othman, the Chief Justice, listening on to H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete's official launching speech during the ceremony.  


Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP), the Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, is also among the attendees at the APRM's Country Review Mission Launching Ceremony.  Also in attendees is Hon. William Ngeleja (MP), Minister for Energy and Minerals.


H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete gives his launching speech during the ceremony.


A group photo of the President Kikwete (center) with members of APRM's Country Review Mission.  On the photo are H.E. Dr. Gharib Bilal (4th-left), the Vice President, Hon. Mizengo Pinda (3rd-right), the Prime Minister, H.E. Barrister Akere Muna (4th-right), the Lead Panelist for the CRM and Hon. Bernard K. Membe (MP), the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.  


A group photo of H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete (center) in a group photo with member of National Governing Council (NGC), H.E. Dr. Gharib Bilal, the Vice President, Hon. Mizengo Pinda (2nd-right), the Prime Minister, Hon. Bernard K. Membe (right), Hon. John Shibuda (3rd left) and Mr. Hasa Mlawa (3rd-right), the Chairman for APRM.


H.E. President Kikwete in a conversation with H.E. Juma Alfan Mpango, Dean of Diplomatic Corps and Ambassador of Democratic Republic of Congo.



Chief Justice Mohamed Othman Chande discussing something with Mr. Hasa Mlawa, Chairman of the APRM Tanzania.  Listening on is Hon. Mahadhi Juma Maalim, the Deputy Minister for the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation.
  


Hon. Mizengo Pinda, the Prime Minister, discussing something with Hon. Bernard K. Membe (MP), the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.




Hon. Mahadhi Juma Maalim, the Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, in a conversation with H.E. Barrister Akere Muna, the Lead Panelist for the APRM's Country Review Mission in Tanzania.


Hon. Mahadhi Juma Maalim, the Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, in a conversation with Mr. John M. Haule, the Permanent Secretary for the Ministry of Foreign Affairs.


Hon. Bernard K. Membe (MP) in an interview with reporters from various media companies.


Mr. John M. Haule (2nd-left), the Permanent Secretary of Foreign Affairs and International Cooperation in a conversation with Mr. Togolani Mavura (left), Private Assistant to the Minister of Foreign Affairs.  Others on the phot are Hon. Mahadhi Juma Maalim, the Deputy Minister and H.E. Ambassador Gamaha, the Deputy Permanent Secretary.


H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete, listening on to one of the experts from APRM's Country Review Mission in Tanzania.


H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete explaining something to H.E. Barrister Akere Muna, the Lead Panelist for APRM's Country Review Mission.


Hon. Bernard K. Membe (left) listening on as the President (not on photo) is talking about APRM process.  Others are Hon. Mahadhi Juma Maalim (2nd-left), the Deputy Minister, Hon. John Shibuda (2nd-right), and Mr. Hasa Mlawa, the Chairman for APRM Tanzania. 




Ms. Zuhura Bundala (right), Acting Director for the Department of Africa at the Ministry, and few members of the National Governing Council (NGC), in waiting for H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete.