Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Daktari Bingwa wa upasuaji Dr J.M.Gauer, kutoka nchini Switzerland, katika hospitali ya Ras Al Khaimah, alipotembelea akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo, ikiwemo Afya, Elimu, Biashara na nyinginezo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.