Rais wa Msumbiji na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Armando Guebuza akifungua rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2012. Wengine katika picha ni Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kutoka kushoto), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Yoweri Museveni (kulia), Rais wa Uganda na Mwenyekiti wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) na Dkt. Salomao (kushoto), Katibu Mtendaji wa SADC. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.