Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akiwa katika mazungumzo na Prof. Harald Braun, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani alipomtembelea Wizarani na kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Ujerumani. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.