Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo
kutoka kwa Mhe. Prof. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia mara
baada ya Rais Kikwete kuwasili leo mjini Addis Ababa. Rais Kikwete yupo nchini humo tayari
kuhudhuria Sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) sasa ikijulikana kama (AU). Sherehe hizo zinafanyika rasmi leo ambapo
zitahudhuriwa na Marais wa Afrika. (Picha na Issa Michuzi wa Ikulu)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.