Mhe. Membe (wa tano kutoka kushoto waliosimama nyuma) akiwashuhudia Bw. Mufuruki na Bw. Choi Gyu Sung, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya HU-CHEMS wakisaini mkataba huo. |
Mhe. Membe akiendelea kumsikiliza Bw. Mufuruki (hayupo pichani). Wengine katika picha ni Balozi Mbelwa Kairuki (kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia. |
Bw. Mufuruki na Bw.Choi wakibadilishana mkataba huo mara baada ya kuusaini. |
Balozi Mbelwa (kushoto), Bi. Zaituni na Bw. Omar Mjenga wakishuhudia uwekwaji saini huo. |
Mhe. Membe akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu mkataba uliosainiwa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.