Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mberwa Kairuki (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Biashara ya Nje ya Japan (Japan External Trade Organization-JETRO) ofisi ya Nairobi, Kenya, Bw. Hiroshi Komatsuzaki (kushoto). Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa JETRO ofisi ya Johannesburg, Afrika Kusini, Bw. Kimihiko Inaba. Wakurugenzi hao walionana na Balozi Kairuki jijini Dar es Salaam kuzungumzia ziara ya Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan itakayofanyika nchini mwezi Agosti, 2013. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.