Balozi Celestine Mushy (wa kwanza kushoto kwa waliokaa), Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa katika picha ya Pamoja na Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Serikali ya Zanzibar baada ya kikao cha IMTC. Balozi Mushy alitumia kikao hicho kuwasilisha mada kuhusu mchakato wa uanzishwaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ambayo yatachukuwa nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.