Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akimkaribisha Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mhe. Amani Abeid Karume (katikati) kuzungumza na wananchi alipotembelea maonesho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 15 hadi 19 Aprili, 2014. Bw. Haule alikuwa mwenyeji wa Mhe. Karume Viwanjani hapo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.). |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.