Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Lt. Gen. Wynjones Mattew Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 15 Mei 2014.
Picha ya Pamoja
Mhe. Rais Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na Familia ya Balozi Kisamba
Balozi Kisamba akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Bibi Victoria Mwakasege mara baada ya kuapishwa.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.