Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. Radhia Msuya wakielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Tanzania kama nchi mwanachama wa SADC na pia mjumbe wa Asasi ya Ulinzi, Siasa na Usalama ya SADC. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.