Makamu wa Rais wa China Mhe. Li Yuanchao akipita katikati ya Gwaride la Heshima wakati wa mapokezi yakehuku akisindikizwa na Mwenyeji wake Mhe. Dkt. Bilal. |
Mhe. Li akifurahia kikundi cha burudani kilichokuwa uwanjani hapo (hawapo pichani) wakati wa mapokezi yake. |
Moja ya vikundi vya burudani vikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Makamu wa Rais wa China alipowasili hapa nchini.
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.