Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Simba Yahya (kushoto) pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi.
Mindi Kasiga (kulia) na Bw. Leonce Bilauri, Afisa Mambo ya Nje wakifuatilia na kunukuu mazungumzo kati ya Naibu Kaibu Mkuu na Balozi wa Israel nchini.
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.