Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akipokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Chakula na Kilimo (IFAD) hapa nchini, Bw. Francisco Javier Pichou Angulo. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ofisini kwa Mhe. Membe tarehe 04 Julai, 2014. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.