Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akimkabidhi Hati ya Kiwanja Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Soud Al Mohammed Al-Ruqaish kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi za Ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika Wizarani tarehe 18 Agosti, 2014. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.