Wakiwa katika
mazungumzo, ambapo Mhe. Mjenga amewaomba kuangalia uwezekano wa kuajiri
Watanzania kwenye Benki hiyo kuja kufanya kazi Dubai. Mwaka jana, UBL ilifungua
ofisi ya Dar es Salaam kuwa ofisi ya Kanda ya Afrika. Aidha,wamegusia suala la
kufungua matawi zaidi Arusha, Moshi, Mwanza, Mbeyana Matawi mengine zaidi
Jijini Dar es salaam. Hii yote itafanikisha kuongeza nafasi za ajira kwa
Watanzania.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.