Katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Mataifa Bw. John Haule (Wa tatu kulia) akizungumza na baadhi ya waheshimiwa Mabalozi waliopanda mlima Kilimanjaro mwezi uliopita. |
Baadhi ya waheshimiwa Mabalozi waliopanda mlima Kilimanjaro wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Haule. Picha na Reuben Mchome. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.