Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba yahaya akiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Said Seif Mzee wakifuatilia hotuba |
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Irene Kasyanju pamoja na Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA Bwa. Isack Kalumuna wakisikiliza Hotuba ya ufunguzi. |
Mkurugenzi wa Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje Bw. James Lugaganya akitoa mada kwa wadau kuhusu mambo muhimu yaliyozingatiwa katika Sera ya Taifa ya Mtangamano ya Afrika Mashariki |
Wadau wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Bw. Lugaganya |
Sehemu nyingine wadau |
Balozi Mstaafu Vincenti Kibwana akichangia jambo katika kikao hicho |
Mdau, Bi. Grace Naburi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi naye akitoa mchango wake kuhusi sera hiyo |
Mdau, Bw. Justin Moshi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria |
Mdau, Bi. Mindi Kasiga kutoka Wizara ya Mambo ya Nje nae akichangia mada |
Wadau mbali mbali wakiwa katika kikao. |
Kikao kikiendelea |
Picha na Reginald Philip |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.