Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara Bw. John Haule wakati viongozi hao wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya uzinduzi rasmi unaotarajiwa kufanyika baadae leo na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.