Tanzania na Argentina zimetiliana saini mkataba wa Ushirikiano katika masuala ya kisiasa, ambao unaashiria mwanzo wa uhusiano mpana zaidi Kati ya Nchi hizo. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mazungumzo Kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Argentina Mhe. Balozi Eduardo Zuian (Kushoto), na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalim, jijini Dar es Salaam Februari 12, 2015. Mawaziri hao pia walitiliana saini mkataba wa ushirikiano kati ya Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na kile cha Argentina. | |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.