![]() |
Juu na chini ni Jengo la ghorofa sita la Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. |
![]() |
![]() |
| Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi jengo hilo. Anayeshuhudia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi (Home based staff) kwenye picha ya pamoja na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya ufunguzi wa Jengo la Tanzania. |
![]() |
| Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi. |








No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.