| Mhe. Maalim akimtambulisha kwa Bi. Llyoid Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya. |
| Mhe. Dkt. Maalim akizungumza na Bi. Lloyd |
| Ujumbe alioambatana nao Bi. Lloyd wakifuatilia mazungumzo. |
| Bi. Lloyd nae alipata wasaa wa kuchangia hoja wakati wa mazungumzo na Dkt. Maalim |
| Balozi Yahya (kushoto) akiwa na Katibu wa Naibu Waziri Bw. Adam Isara wakisikiliza mazungumzo kati ya Dkt. Maalim na Bi. Lloyd (hawapo pichani) |
| Mazungumzo yakiendelea.
Picha na Reginald Kisaka.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.