Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Quatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.