Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana tarehe 29 Mei 2015. |
Wageni waalikwa wakiwa katika ukumbi wa Bunge wakifuatilia hotuba ya bajeti iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri Membe. |
Waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani nao wakifuatilia hotuba ya bajeti. |
Wageni waalikwa wakiwamo wananchi wa jimbo la Mtama la Mhe. Waziri Membe nao wakifuatilia hotuba ya bajeti ya Waziri Membe. |
Kundi lingine la Waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wakifuatilia hotuba ya bajeti. |
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Diplomasia wakisikiliza Hotuba ya Bajeti liyokuwa inawasilishwa na Waziri Membe, wakiongozwa na Mwalimu wao Bwa. Jambo |
Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangala akimpongeza Waziri Membe baada ya Bunge kupitisha Bajeti wa Wizara yake |
Waziri Membe akihojiwa na Paschal Mayala Mukuu wa Kampuni ya PPR
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.