Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akipokea Nakala ya Hati za Utambulisho kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kutoka kwa Balozi Mteule wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Abdullah Jassim Mohamed Al Maadadi leo tarehe 17 Juni 2015. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.