Ujumbe alioambatana nao Dkt. Kanem ukifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Dkt. Kanem (hawapo pichani) |
Dkt Kanem akichangia jambo huku Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akimsikiliza kwa makini. |
Katibu Mkuu Balozi Mulamula (kushoto) akimsikiliza Dkt. Kanem (hayupo pichani), huku Afisa Mambo ya Nje, Bi. Ramla Hamis (kulia) akinukuu mazungumzo hayo. |
Balozi Mulamula na Dkt. Kanem wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa UNFPA
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.