| Mhe. Rais akisisitizia jambo kwa Watanzania waishio Nje |
| Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora, Bi. Rosemary Jairo akimsikiliza Rais Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Diaspora wakati wa hafla ya chakula cha jioni. |
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Balozi Irene Kasyanju (kulia) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Afrika Bi. Zuhura Bundala (kushoto).![]() |
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hilo wakimsikiliza Mhe. Rais Kikwete (hayupo pichani).![]() Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula naye akizungumza wakati wa hafla hiyo ya chakula cha jioni. |
| Balozi Mulamula akiendelea kuzungumza |
| Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. |
| Wana Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa maalum kwa ajili ya kufunga Kongamano la pili la Diaspora. |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mirisho Kikwete (kushoto) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji kutoka Kampuni ya Huawei nchini Bw. Sung |
| Balozi wa China nchini, Mhe. Lu akizungumza na mdau walipo hudhuria hafla ya chakula cha jioni kwa ajili ya kuhitimisha Kongamano la Pili la Diaspora nchini |
| Afisa Mambo ya Nje, Bw. Mugendi Zoka akibadilishana mawazo na Watanzania waishio Nje waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni |
| Mkurugenzi Msaidizi, Bw. James Bwana (kulia), akibadilishana Mawazo na Afisa Mambo ya Nje Bw. Hassan Mwamweta (kushoto). |
| Rais Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora, Bi. Rosemary Jairo (kushoto) na kulia ni Mtoto wa Bi. Rosemary Jairo |
| Rais Kikwete (mwenye tai nyekundu) akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Watanzania waishio Nje. |
| Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Kamati iliyoandaa Kongamano hilo. |
Picha na Reginald Philip.


No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.