Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Joseph Sokoine (katikati) kwa pamoja na Bw. Adam Isara, Katibu wa Naibu Waziri na Bi. Felister Rugambwa, Afisa Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Mahadhi na Mhe. Eralp (hawapo pichani). |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.