Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bw. Paul Kessy (kushoto) na Kamishna wa Mipango wa Zanzibar, Bw. Ahmed Makame (kulia). Uzinduzi huo rasmi uliofanyika hapa nchini katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam unafuatia uzinduzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Mataifa Mjini New York, Marekani tarehe 25/09/2015. Malengo hayo 17 ya miaka 15 yamerithi Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) yaliyomaliza utekelezaji wake mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.