Mhe. Philip S. Marmo,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani (Kushoto) akiwa kwenye kikao na Mhe.Wolfgang Schmidt, Naibu Waziri anaye shughulikia masuala ya Umoja wa Ulaya na Mambo ya Nje wa jimbo la Hamburg. Mkutano huo ulifanyika siku ya tarehe 29 Septemba,2015 kwenye ofisi Mhe.Schmdit mjini Hamburg.Mhe.Balozi Marmo alikuwa mjini Hamburg kwa ziara ya kikazi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.