Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akijibu maswali kuhusu hali ya kisiasa nchini Burundi wakati wa mahojiano maalum na Mwandishi wa Habari kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Bw. Leonard Mubali. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi. Mindi Kasiga akinukuu mahojiano hayo. Mahojiano hayo yatarushwa tarehe 18 Desemba, 2015 saa 3:00 usiku kupitia kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Star TV |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.