Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini, Mhe. Ahmed El Badaoui Mohamed Fakih. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Comoro. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.