Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga walipokutana katika Ofisi za Sekretarieti ya Uongozi wa Maadili ya Umma katika zoezi la kukabidhi fomu za Uadilifu na Tamko la Mali, kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi. Mindi Kasiga. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.