Mhe. Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Jallow. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Baraka Luvanda (wa pili kulia), Dkt. Cheichk Bangoura (kushoto) ambaye ni Mwanasheria wa MICT na Bw. Elisha Suku (kulia), Afisa Mambo ya Nje. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.