Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Arusha, viongozi na wawakilishi wa mataifa mbalimbali hawapo pichani ambao walihudhuria hafla fupi ya uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa barabara ya Arusha -Holili/Taveta -Voi km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha, tarehe 3 March,2016.
|
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Masharika, Kikanda na Kimataifa na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwasilisha taarifa ya Tanzania katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km234.3.
|
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.