Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi (kulia) akimkaribisha Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jasem Alnajem alipomtembelea Ofisini kwake na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kukuza Mahusiano kati ya Tanzania na Kuwait katika sekta ya Elimu na Uchumi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.