Msemaji na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China nchini, Bw. Zhang Biao alipomtembelea leo katika Ofisi za Wizara. Katika mazungumzo yao walizungumzia namna ya kuendelea kushirikiana hususan katika kuhakikisha Sera za Mambo ya Nje za Tanzania na China zinajulikana kitaifa na kimataifa kwa kuimarisha tasnia ya Mawasiliano kwa Umma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.