![]() |
| Mhe. Rais Magufuli akizungumza kwenye Dhifa ya kitaifa ambapo alimshukuru Mhe.Rais Kagame kwa kuitikia mwaliko wake na Kufungua maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba). |
| Sehemu ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa na Waheshimiwa Marais. |
| Sehemu nyingine ya viongozi wa Serikali waliohudhuria Hafla hiyo wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa na Waheshimiwa Marais |
| Rais Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Sinde Warioba na Rais Kagame akisaliamiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ackson Tulia. |
| Rais Kagame akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.Susan Kolimba(Mb) |




No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.