Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabohora, Mhe. Shehe Zainuddin Adamjee naye akizungumza na waandishi wa habari kwenye makabidhiano ya madawati. |
Sehemu ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini Waziri Mahiga (hayupo pichani) |
Sehemu ya wawakilishi wa Jumuiya hiyo wakimsikiliza kwa makini Mhe. Waziri Mahiga |
Waziri Mahiga akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya dawati kati ya yaliyotolewa na Jumuiya ya Mabohora. Wizara itakabidhi madawati hayo kwa Mamlaka husika kwa ajili ya kusambazwa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.