Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb), akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga Mabalozi wa nchi za Ireland, Canada na Uingereza wanaomaliza muda wao wa uwakilishi nchini. Kutoka kushoto ni Mhe. Fionnuala Gilsenan, Balozi wa Ireland, Mhe. Alexandre Leveque, Balozi wa Canda na Mhe. Dianna Melrose, Balozi wa Uingereza. Katika mazungumzo hayo Dkt. Mahiga aliwashukuru kwa kuendeleza na kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Mataifa yao hapa nchini hususan katika kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.