Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock Ikulu Jijini Dar es Saalam |
Balozi Mteule wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Mohammed Hassan Abdi akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Saalam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli |
Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Mohammed Hassan Abdi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kuwasilisha Hati za utambulisho |
Balozi Mteule wa Italia nchini Tanzaia, Mhe.Roberto Mengoni akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. |
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na Balozi Mteule wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni Ikulu Jijini Dar es Salaam
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Italia na Wizarani. Wapili kulia ni Balozi Joseph Sokoine, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na wa kulia ni Balozi Zuhura Bundala, Mshauri wa Masuala ya Diplomasia wa Rais. |
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Watu wa Korea nchini Tanzania, Mhe. Kim Yong Su akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. |
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Korea nchini Tanzania, Mhe. Kim Yong Su akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli |
Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Korea Mhe. Kim Yong Su mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.