Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo akiwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo kati ya Naibu Waziri, Mhe. Dkt. Kolimba na Balozi Mteule wa Sudan, Mhe. Sharif (hawapo pichani). |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.