Sehemu ya baadhi ya waandishi wa habari na wajumbe wa mkutano wakimsiliza Mhe. Waziri Dkt. Mahiga wakati akitoa hutuba ya ufunguzi. |
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stregomena Tax akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC. |
Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda Balozi Innocent Shiyo (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC. Mezakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga, (katikati) Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima (kulia) na Katibu Mkuu SADC Dkt. Stregomena Tax (kushoto) |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.