Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Lu Youqing wakisaini Mkataba wa Makubaliano ya uwekwaji wa samani katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Tukio hili limefanyika mapema leo Wizarani Jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.