Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi.Virginia M. Blaser walipokutana Wizarani mapema leo asubuhi. |
Naibu Waziri Mhe. Dkt. Susan Kolimba akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani Bi. Virgnia M Blaser walipokutana kwa mazungumzo Wizarani |
Balozi Joseph Sokoine (wa kwanza kulia) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo |
Mazungumzo yakiendelea |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.