Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermann walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika maeneo mbalimbali ya kuendeleza ushirikiano katika maeneo ya afya, elimu na uwekezaji. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.