Sehemu ya Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Mahiga na Balozi Lu (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi. Mindi Kasiga, Maafisa Mambo ya Nje, Bw. Emmanuel Luangisa na Bw. Benedict Msuya. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.