Picha ya pamoja
Aidha, Waziri Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Wizarani Jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi.Katika mazungumzo hayo wamejadili masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kidiplomasia, uchumi na kijamii baina ya nchi hizi mbili Tanzania na Burundi
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.